Mkuu wa shule ya sekondari airport anayofuraha kuwakaribisha wanafunzi, wazazi, walezi na ndugu na jamaa kwenye sherehe ya kitaaluma ambayo itafanyika kwenye ukumbi wa shule siku ya jumamosi tarehe 31/07/2021 Read More …
Day: July 22, 2021
KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA (I) NA CHA TATU (III).
Uongozi wa shule unatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaoitaji kuamia kidato cha kwanza (I) na cha tatu (III) kwa mwaka 2021. shule itaendelea kupokea wanafunzi wanaoamia mpaka tarehe 30/08/2021 Read More …