Mkuu wa shule ya sekondari airport anayofuraha kuwakaribisha wanafunzi, wazazi, walezi na ndugu na jamaa kwenye sherehe ya kitaaluma ambayo itafanyika kwenye ukumbi wa shule siku ya jumamosi tarehe 31/07/2021 shuleni airport. Sherehe itahusisha wanafunzi wote walio fanya vizuri katika mtihani wa taifa wa kidato cha sita 2021 kwa kupata daraja la kwanza.
Kwa keel inabidi wapongezwe wadogo zang maana wamejua kutufurahiaha
ahsante sana na karibu airport