NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA (I), TATU (III) NA TANO (V)2021.

Mkurugenzi wa shule ya sekondari airport anatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaohitaji kuhamia kidato cha kwanza, tatu na cha tano kwa mwaka wa masomo 2021. nafasi zipo kwa wanafunzi wa jinsia zote na dini zote pia hostel zipo kwa wanaotoka mbali. KARIBUNI SANA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *