Shule ya sekondari airport mbeya inatoa mafunzo ya PRE-FORM ONE kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka 2021. masomo yameanza tarehe 13/09/2021 mpaka 22/12/2021 malipo kwa mwezi ni shilingi elfu Read More …
Category: News
NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA (I), TATU (III) NA TANO (V)2021.
Mkurugenzi wa shule ya sekondari airport anatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaohitaji kuhamia kidato cha kwanza, tatu na cha tano kwa mwaka wa masomo 2021. nafasi zipo kwa wanafunzi Read More …
FOMU YA KUKAA BWENINI.
Fomu ya maelezo ya wanafunzi wanaopenda kukaa bwenini (hostel) katika shule ya sekondari Airport mkoani mbeya. Ipakue kwa kubofya hapa FOMU YA BWENINI (HOSTEL)
KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA (I) NA CHA TATU (III).
Uongozi wa shule unatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaoitaji kuamia kidato cha kwanza (I) na cha tatu (III) kwa mwaka 2021. shule itaendelea kupokea wanafunzi wanaoamia mpaka tarehe 30/08/2021 Read More …
NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO V 2021.
Shule inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2021 mwanafunzi awe na ufaulu wenye credit tatu au zaidi kwenye cheti chake cha form four. shule ina Read More …